Tuesday, April 17, 2018

VYAKULA AVIPENDAVYO KAPULYA WENU

 UUgali kwa dagaa zilipikwa na bamia bila kusahau pilipili....
 Dagaa na mboga mboga kwa ugali mmmhh
 Njegele kwa nazi  yaani utamu mno
Na hsoa ni samaki ilipikwa jwa ustadi :-)

4 comments:

  1. umenisababishia njaa dada wa mimi..

    ReplyDelete
  2. Si ndio vizuri....ila duh hata mie njaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Ni vyakula vyenye ladha maridhawa na siha njema sana dada Kapulya.Japo hujasema tukaribie lkn mwenye njaa hakusubiri kusikia neno karibu baii.............................................

    ReplyDelete
  4. Kaka Ray yaani wewe acha ..ila ukiona msosi maana yake unakaribishwa kujumuika...

    ReplyDelete