Tuesday, December 5, 2017

VISODA NA MATUMIZI YAKE......UBUNIFU

 Wakati wengine wakitumia kama mapambo........urembo
wengine wanatumia kama vihesabio. Je? wewe  umewahi kutumia kifaa hiki kwa mtindo wowote mwingine?

2 comments:

  1. Huo urembo, ulimbwende au balaa hadi visoda! Heri wangetumia masimbi kuliko visoda ambavyo vikipata kutu si salama kwa afya ukiachia mbali kuwa si asili yao.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango nimecheka eti ulimbwende ...masimbi ni nini?...kapulya huyuuu

    ReplyDelete