apple(tofaa) papai, mananasi...mmh, kwa ujumla mimi napenda matunda mengi, tatizo hapa Dar, kitu kama Tufaa ni aghali sana..hata papai...afadhali ya machungwa,...ila Dar, msimu wote ni matunda, wanalima mikoani wanaleta hapa..
Please ondoa hayo mapapai usiue watu bure. Huku tunayapata toka Mexico lakini mabichi na si matamu kama ya nyumbani. Natamani picha hii ingefyatuka na kuwa kweli lau nifaidi.
apple(tofaa) papai, mananasi...mmh, kwa ujumla mimi napenda matunda mengi, tatizo hapa Dar, kitu kama Tufaa ni aghali sana..hata papai...afadhali ya machungwa,...ila Dar, msimu wote ni matunda, wanalima mikoani wanaleta hapa..
ReplyDeletePlease ondoa hayo mapapai usiue watu bure. Huku tunayapata toka Mexico lakini mabichi na si matamu kama ya nyumbani. Natamani picha hii ingefyatuka na kuwa kweli lau nifaidi.
ReplyDelete