Jumamosi njema
Saturday, December 30, 2017
Monday, December 25, 2017
Friday, December 22, 2017
PERAMIHO KIZIZINI LEO 22/12/2017 IJUMAA NJENA WANDUGU
Mdada anafurshia kuwa nyumbani -:)
Leo nilikuwa Peramiho na hapa ni kizizini kwa wale wenyeji wa peramiho wanajua. Na wasiojua ni sehemu ufugaji bora......
Wednesday, December 20, 2017
Tuesday, December 12, 2017
MKIONA KIMYA BASI JUENI NIMEKWENDA KULA LIKOLO LA NANYUNGU-:) NYUMBANI NI NYUMBANI
Napenda kuwatakieni wote afya njema kwa kipindi hiki kijacho cha NOELI. Binafsi nitakuwa katika mapumziko kula likolo la nanyungu. KARIBUNI SANA.
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA NA KUSEMA. NI MIMI KAPULYA WENU.
Wednesday, December 6, 2017
JE? WEWE UNAPENDA MATUNDA GANI? MIMI NAPENDA MACHENZA NA MAPAPAI
Kwanza MACHENZA Haya ni mepesi kumenya,hayana ukakasi wala uchungu kwa kifupi ni matamu.
Pili ni mapapai haya ni matamu sana pia ni safi sana kulainishia nyama kama vile nyama ya ngòmbe utapenda nakuambia....
Pili ni mapapai haya ni matamu sana pia ni safi sana kulainishia nyama kama vile nyama ya ngòmbe utapenda nakuambia....
Tuesday, December 5, 2017
VISODA NA MATUMIZI YAKE......UBUNIFU
Wakati wengine wakitumia kama mapambo........urembo
wengine wanatumia kama vihesabio. Je? wewe umewahi kutumia kifaa hiki kwa mtindo wowote mwingine?