Monday, October 23, 2017

JUMATATU HII TUANZE NA UJUMBE HUU....

NI VIZURI KUSAHAU JAMBO LILILO UMIZA MOYO WAKO.  LAKINI NI VIZURI KUKUMBUKA ULICHOJIFUNZA KATIKA JAMBO HILO.
NAWATAKIENI JUMA JEMA

2 comments:

  1. Ahsante sana mama yangu

    ReplyDelete
  2. EEhhh! Dada P..kwanza za masiku nilikumiss haswaa. Karibu sana tena hapa kibarazani kwetu...

    ReplyDelete