Monday, April 24, 2017

TUANZE JUMATATU HII KWA KUANGALIA BAADHI YA CHANGAMOTO ZA MAISHA YA VIJIJINI

 KUSAIDIANA:- Hakuna baba wala mama..wote mzigo kuchwani, baada ya kazi za shamba kuelekea nyumbani....hii kidogo inaleta furaha.
Mama na mwanae huku mzigo wa kuni kichwani kwa ajili ya kupikia chakula nyumbani.  Hivi ndivyo baadhi ya jamii vjijini yalivyo.

No comments:

Post a Comment