Kapulya na mbwembwe zake kama kawaida kamera ilipomnasa
Baada ya kujinyoosha hapo juu nilinaswa nikiwa nikiangalia mazingira ya hiki kisiwa cha Lanzarote huku Uispania
Baada ya matembezi ya muda mrefu mtu huwa na njaa na hapa ni chakula kikuu cha Kispania kinaitwa PAELLA...ni chakula kitamu:-)
Sikuishia hapo nilikwenda kwa makumbusho maalufu yaliyopo katika kisiwa hiki cha Lanzarote kuangalia mimia hii ya Cactus....ila sasa nimerudi na nipo nanyi tena kama kawaida....Kapulya wenu
Dada naona shavu hinhaa. Japo sipendi watu wanaojikondesha na kunyondanyonda,chunga hayo mafuta na mahanjumati unayokalangiza na kumeza.
ReplyDeleteMmmh..kaka Mhango. .nimecheka hilo neno mahanjumati....usihofu nipo makini. ..ahsante kujali
ReplyDeletekaribu
ReplyDelete