Wednesday, January 18, 2017

PALE NDUGUZO NA MARAFIKI WANAPOKUTAMANISHA CHAKULA /VYAKULA UVIPENDAVYO:-)

Ugali wa ulezi  kwa kuku(mawondo ni kingoni) paja na mchuzi. utadhani mlima Kilimanjaro ukiisha huo itabidi kupumzika haswaaa
 Kuna mdogo wangu anajua sana mimi ni mpenzi sana wa ugali  kanitumia hii ili nitamani na kweli nimetamana...ugali na dagaa ...
....na mwingine kunitamanisha hiii wali, kuku na mboga mboga ...:-) watu wachokozi sana kwa kweli

4 comments:

  1. Hiyo si milo bali ugomvi. Hali huwa mbaya vitu kama hivyo vinapoletwa wakati unaumwa malaria. Hutamani ungekuwa na uwezo wa kuwameza mbu wote ili wasirudie kukufanyia kitu mbaya ya kukuzuia kufaidi mahanjumati kama hayo hapo juu.

    ReplyDelete
  2. Kaka.Mhango. ..yaani umepatia huo ni ugomvivwa kula

    ReplyDelete
  3. Kachiki wa mimi..kama ni njaaa kulaga basi chakula kingiiiiii chagua la lako tu

    ReplyDelete