Thursday, January 26, 2017

MBUZI WA AJABU MPAKA JUU YA MTI...

Binafsi sijawahi kuona  mbuzi wakipanda juu ya mti...yaani wamenipita hadi mie:-) kaaaazi kwelikweli

2 comments:

  1. Hao mbuzi wanapatikana mjini Songea na kule Litembo. Ni wajanja kweli. Wanataka kuona kile ambacho binadamu na ndege hufaidi katika kupanda miti. Wana bahati hakuna chui eneo hilo;vinginevyo huo utundu wao ungewaponza. Hata hivyo, inafurahisha kuona mbuzi walivyo wabunifu kiasi hiki hata kama hayawani.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango umenichekesha kweli eti Wanapatikana Songea... na ni kweli wana bahati hakuna chui ni mbuzi wa ajabu kwa kweli...

    ReplyDelete