Friday, January 27, 2017

KUMBUKUMBU...JINSI YA KUPATA POMBE YA ULANZI

Kuhusi Ulanzi:- Kwanza nakumbuka nilipokuwa msichana mdogo bibi na babu yangu walikuwa na "vitindi" miti ya ulanzi mingi sana na walikuwa wakiuza sana ulazi ...na baada ya miaka nikawa naishi Madaba-Matetereka kule nako kulikuwa na ulazi mwingi sana ...ila bahati mbaya au nzuri sijui utamu wa ulanzi...sijawahi kuonja:-)...NAWAPENDA WAOTE NA NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA HILI...USIBUGUE SANA ULAZNI:-).....KAPULYA

3 comments:

  1. Babu yangu amewahinifundisha kugema, nikawa mgemaji mzuri

    ReplyDelete
  2. Kumbe tupo wengi tuliofundisha hili...lakini mimi sikuweza kugema kwani sikupenda ile harufu ya ulanzi:-) ila ni moja ya tamaduni zetu ambazo yabidi iendelezwe maana haihitaji shughuli nyingi sana kama kupika pombe nyingine...

    ReplyDelete
  3. Ni kweli dada, kweli mimi katika kipindi kifupi nilichoishi na babu yangu alinifundisha na nikawa namsaidia kabisa hata hasipokuwep vile nilikuwa mtundu mtundu kidogo.Nikipitia blog yako najihisi nyumbani sana

    ReplyDelete