WIKI HII TUANZE NA MAPISHI AMBAYO WENGI TUMEPIKA NA KUKULIA....NIMEKUMBUKA SANA MAPISHI HAYA YA KUTUMIA MAFIGA MATATU...
Kwenye chungu ni makande, wakati ukisubiri makande yaive basi ni mtindo mmoja tu kuchoma mahindi....Na ujuavyo chakula cha kupikia kwenye chungu kinavyokuwakitamu.....
Sijui miti ikiisha hii kitu tutachomea nini. Ama kweli tumetoka na kutokezea mbali!
ReplyDeleteKaka Mhango! ndo maana tunaambiwa tukate miti na kupanda tena....Haswaaa tumetoka mbali
ReplyDelete