JUMAMOSI NJEMA ....KARIBUNI CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA...............!!
Nimeukumbuka LUNDO -NYASA kwetu kule Mbamba bay ugali wa muhogo na dagaa na ukikosa dagaa samaki ....mmmhhhh naweza kusema ndicho chakula nikipendachona kilichonikuza....
JUMAMOSI NJEMA.
Hao chamaki wache wee! Ukipiga hiyo na kaugali si unalala kama umekula madawa ya kulevya. Oh sweet home!
ReplyDeleteKaka Mhango...Nchomba/chamaki/somba... hakika ni kweli ukila hapo lazima utalala....Nyumbani ni numbani nimekumbuka sana
ReplyDelete