............................................................................................................................
TUENDELEE NA SALA HII KUTOKA KWANGU KUJA KWENU:-
Eee Mungu wangu nakuomba uwalinde familia, rafiki na jamii yote. Nakuomba uwalinde wakati wote na uwape afya njema, furaha na uwashushie baraka zako. AMINA.
JUMAPILI IWE YENYE BARAKA NA UPENDO KWAKO/KWENU! NA IKUMBUKWE KWAMBA NI JUMAPILI YA KUPAA KWA MAMA YETU MPENDWA BIKIRA MARIA
thax sana na huo ndio ukweli wapo wasiopenda maendeleo ya watu wengine.
ReplyDeleteAhsante sana kaka Chaula...pia karibu sana Maisha na Mafanikio.
ReplyDelete