Friday, August 12, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA ....LEO TUPO MKOANI IRINGA...

Watumiaji wa kinywaji aina ya Ulanzi wakifurahia kinywaji hicho katika mkoa wa Iringa. IJUMAA NJEMA NDUGU ZANGU....

2 comments:

  1. Home sweet home, hapana chezea kinywaji cha nyumbani. Hicho nadhani alcohol percentage yake ni 99

    ReplyDelete
  2. Hakika nyumbani ni nyumbani...huwa nakumbuka sana kwa bibi na babu kule Lundo kwetu ...walikuwa na vitindi/mashina mengi sana ya ulanzi. Ila bahati mbaya nilikuwa sipendi hata harufu yako kwa hiyo sijui radha yake...:-)

    ReplyDelete