Nguo za kujimwaga ni ngua nizipendazo mimi/kapulya halafu hii sketi ni bomba sana ina mifuko pia. Kwa hiuyo hapa hakuna haja ya kuwa na pochi. Pia rangi zake ni maridadi kabisa....Vitenge tunavyo pia Kanga za kuweza kushona, kuvaa na kupendaza sana...NIMEIPENDA MNO HII SKETI!
Haya umependeza
ReplyDeleteVero Ahsante! Na pia Karibu sana!
ReplyDelete