MAISHA:- WEWE NA MIMI MPAKA MUNGU ATAKAPOTUTENGANISHA....
Tulichokuwa nacho tutagawana mke wangu ...nimeipenda hii picha jinsi inavyoonyesha upendo wao. Hapo inavyoonekana wamekuwa pamoja tangu ujana mpaka hivi sasa. Sijui siku hizi .....ngoja niache na wengine mseme.
Ndoa ni ndoano ukiwa nayo na ikisambaratika inakuachia doa.Salamu kwa wa wadau wote wa blogu hii nami nawaakribisheni kwenye blogu ya Maisha ni Mikikimikiki.
Wanapendeza; wanapendana naturally bila manjonjo na makondokando ya ukwasi wala ghiba , ujanja unjanja wala ubishororo na urushirushi. Ama kweli dunia yote ingekuwa hivi, tusingekuwa na neon talaka kwenye kamusi yetu wala wanandoa wala wanandoa kuuana kama dada zangu wa Kimachame, Wapare na wengine wanaoua waume zao kuchukua fedha, majumba na magari .
Ndoa ni ndoano ukiwa nayo na ikisambaratika inakuachia doa.Salamu kwa wa wadau wote wa blogu hii nami nawaakribisheni kwenye blogu ya Maisha ni Mikikimikiki.
ReplyDeleteAhsante kwa yako ya moyoni ama kweli ndoa ndoana...Usiwe na hofu tutajongea tu Maisha na Mikikimikiki.,,,,
ReplyDeleteWanapendeza; wanapendana naturally bila manjonjo na makondokando ya ukwasi wala ghiba , ujanja unjanja wala ubishororo na urushirushi. Ama kweli dunia yote ingekuwa hivi, tusingekuwa na neon talaka kwenye kamusi yetu wala wanandoa wala wanandoa kuuana kama dada zangu wa Kimachame, Wapare na wengine wanaoua waume zao kuchukua fedha, majumba na magari .
ReplyDelete