Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda wote tulioiona siku ya leo. Na pia naomba Mungu baba uyapokee maombi yangu kwa wagonjwa na wenye shida nyingine ili wapate nafuu. Pia naomba sala zangu kwa marehemu wote zisikike kwako Baba. Amina.
Nawe pia
ReplyDeleteKasiani! Na chilawu mewawa, Ahsante sana .
ReplyDelete