Friday, June 3, 2016

LEO TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA KIJANA WETU ERIK KUTIMIZA MIAKA 16...HONGERA SANA KIJANA WETU.... !

  Kaka Erik Nyumbani Ruhuwiko-songea 2015
Ndugu wapendwa natumai Ijumaaa hii itakuwa njema.Mungu azidi kuwabariki/kutubarika  katika yote.Hapa kwetu Ijumaa hii ni njema kabisaa. Leo tunaungana na kijana wetu mpendwa kwa kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa Siku kama ya leo Mungu alitubariki na kutujaalia mtoto wa kiume kaka Erik. Mungu anaendelea kumtunza vyema katika yote. Mungu yu mwema sana, sifa na utukufu viwe kwakwe. Tunamweka kijana huyu mikononi mwake Baba wa Mbinguni katika yote. Aendelee kuwa Baraka kwetu kama wazazi,walezi, Ndugu,Jammaa,Marafiki na Jamii yote. 
Ngoja tu tuweka na wimbo ambao kaka Erik alianza kusikiliza kwa kujifunza kiswahili ingawa nilipata swali moja kwa nini wanasema Kenya na sio Tanzania mama? na wimbo wenyewe ni huu JAMBO BWANA

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA ERIK.

8 comments:

  1. Hongera kwa kumlea kijana. Namtakia kila la heri, nanyi familia nzima.

    ReplyDelete
  2. Happy birthday Erika and many happy years returns. By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Happy birthday Erick, mungu ampe afya na baraka tele, na wazazi wake pia

    ReplyDelete
  4. Prof. Ahsante sana. Kwa niaba ya Erik nasema ahsante sana kwa baraka . Na pia kwa familia nzima twasema ahsante kwa kuwa nasi na kuifanya siku hii kuwa ya furaha.

    Kaka Salumu! Erik anasema Ahsante Mjomba!

    Kwa niaba ya Erik Ahsante sana mjomba kwa baraka zako. Napenda kuchukua nafasi hii kama mama na kusema Ahsante pia.

    ReplyDelete
  5. Happy Birthday Erik ila endesha huo mchuma kwa umakini sana. Uliwahi kutaka kunitoa roho miaka ya tisini kule Bongo.

    ReplyDelete
  6. Mjomba Mhango....hii si yangu ni ya Mjomba na nilikuwa najaribu tu ila duh pole sana mjomba kwa hilo. Ahsante kwa hongera. Erik

    ReplyDelete
  7. Wawoo, hongera sana uncle Erik.
    japo nimechelewa kukuwishi.
    may Almighty God give you 100yrs

    ReplyDelete
  8. Mama mdogo Edda! Ahsante sana na ubarikiwe sana. Halafu wala hujachelewa...Erik

    ReplyDelete