Tuesday, June 14, 2016

LEO TUPO KIJIJI FULANI MBAMBA BAY...

Nimeipenda taswira hii..inanikumbusha mbali sana. Hakika tumetoka mbali ...ngoja niache panapo majaliwa tutaonana tena. Kapulya.

2 comments:

  1. Mazingira yanavutia sana!

    ReplyDelete
  2. Dada P! Yaani hapo ni picha tu, ukifika karibu hutapenda kuondoka..:-)

    ReplyDelete