Sunday, June 12, 2016

JUMAPILI YA LEO NIMEONA MUWE NAMI NA TUSALI SALA YA BABA YETU KWA LUGHA LUGHA YA KINGONI .....PIA KIWAHILI....

TUANZE NA KINGONI....KARIBUNI
"Hinu nyenye pemwisali, msala naha:-
CHINGONI
Dadi witu,
Witama kunani kulihundi,
Lihina laku lihyuwanike,
Ubambu waku utibwerele,
Chewifuna wenga vakiti vandu,
pamlima apa ngati chevikia kunani kulihundi,
Utiletele lelu chakulya chitu cha magono goha,
Utiwusile getihokili,
ngati tete tukuwawonela lipyana vevahoki kwa tete.
Ukotoka kutileka kulemala nichihaki,
nambu utiwusile vihaki.
(Ndava ubambu waveve na makakala na uvaha, magono gaha. Pepayi)
Mt. 6, 9-13.
......................................................................................
SALA KUU YA BABA YETU KWA KISWAHILI....KARIBUNI
Baba yetu uliye Mbinguni,
Jina lako litukuzwe,
Ufalme wako ufike,
Utakalo lifanyike , duniani kama Mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
Utusemehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika vishawishi, lakini utuokoe maovuni.(Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina
HII SALA IMEBEBA MAOMBI YOTE, LIKIWEMO LA KUSAMEHEWA DHAMBI NA KUOMBA RIZIKI.
UKISALI  HII , HUNA HAJA YA KUSALI VINGINE VYOVYOTE.
FANYA HIVYO KILA SIKU, KILA UPATAPO MUDA.
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE AMANI NA BARAKA VITAWALE NDANI YA NYUMBA ZENU...  

4 comments:

  1. Ameena. Ramadhani Kareem kwa wote. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salum! Amina...nami nikutakie Ramadhani Kareem wewe na wengine wote....kapulya:-)

    ReplyDelete
  3. Yohana... Kwanza karibu sana katika kibaraza cha Maisha na Mafanikia. Pia nami Amina!

    ReplyDelete