Tuesday, May 31, 2016

HUU NDI UTAMADUNI WETU NA UASILI WETU WANA SONGEA/RUVUMA

NGOMA ZIKIPIGWA TAYARI KWA KUCHEZA ´LIZOMBE
Na hapa ni kikundi cha mchezo wa lizombe tayari wakiwa wamevalia sare zao kwa umaridadi kabisa...tusisahau uasili wetu. Tuwasimulie watoto wetu kama tutakuwa hatuna picha au sauti iimbayo ni muhimu sana nao wajue wapi kiini kilipotoka.

2 comments:

  1. Kasian! Nafurahi kuona unapata kumbukumbu za nyumbani....Ukiona hivyo ujue na mimi nakumbuka kunyumba...

    ReplyDelete