Thursday, April 7, 2016

RANGI AZIPENDAZO KAPULYA......KIJANI

Hii rangi ni moja ya rangi nizipendazo. Sasa hapa hata sketi, gauni wala suruali  hakuna sijui itakuwaje .....Na hicho kiatu sijui nitafika niendako kweli..... ???

3 comments:

  1. Thanks Kapulya,
    Hata mm na geen kwa kweli i like it

    ReplyDelete
  2. Mama Alvin! ...Dada P Ahsanteni kumbe tupo wengi tupendao kijani. Kijanii oyeeeeee

    ReplyDelete