IJUMAA YA LEO TUPO KATIKA SOKO LA NAMTUMBO NJE KIDOGO YA MJI WA SONGEA
Hebu angalia hapa vyakula vyetu vya asili yaani hata kuangalia tu unashiba... umeona eehh. Nyanya, Tangawizi na vyakula vingine kwa wingiiii...Mmmmhhh ngoja NIWATAKIENI IJUMAA NJEMA. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA.
Inapendeza kuona vyakula vyetu lakini vikifika mjini bei zake hazikamatiki.
ReplyDeleteKaka Ray! Ni kweli lakini hata hivyo kwani inabidi tukubaliane na hiyo bei maana hata wao inawagharimu sana hadi kufika mjini na hivyo vyakula....
ReplyDelete