Friday, February 12, 2016

MUNGU WANGU...!WATU WANAKIMBIA TOKA NDANI YA PANTONI KUWAHI KATIAKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU....

Picha hii inaonyesha jinsi watu wanavyokimbia toka ndani ya Pantoni kuwahi katika shughuli zao za kila siku jambo ambalo ni hatari katka maisha Yao. Wandugu ni vyema tukajali maisha yetu maana ndiyo yenye thamani zaidi kuliko kazi tunazokimbilia. Kazi utapata nyingine lakini maisha yatapotea milele. MUNGU IBARIKI TANZANIA PIA WABARIKI WATU WAKE! TUNAKUOMBE WIKI HII IISHE SALAMA.

2 comments:

  1. Hapa Kazi tuu. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu, hii ya hapa kazi tu duh..bila maisha haiwezi kuwa kazi tu

    ReplyDelete