UTAFITI WANGU KAPULYA:-
Nitaanza na Kabila langu nililozaliwa nalo:-)
1. Kingoni - MAWU
2. Kimanda - MAU/MAWU
3. Kinyasa - AMAWO
4. Kibena - YUVA
5. Kihehe - YUVA
6. Kikinga - UJUVA
7. Kimpoto - AMAU
8. Kinyamwezi - MAYU
9. Kimatengo - AMABO
10. Kinyakyusa - JUUBA
11. Kigogo - YAYAA
12. Kikurya -BHABHA/MAYO
13. Kisukuma - MAAYO
14. Knyiramba - MAU
15. Kifipa - IMAMA/NYIMA
16. Kipare - MCHEKU
17. Kihaya - MAWE/MAE
18. Kisambaa - MNAA/MMAA
19. Kimburu - AYII
20. Kburange- YAYI
21. Kizigua - MAME
22. Kichagga - MAI/MAE
23. Kimasai - YEYO
24. Kipogoro - MAWU
25. Kijita - MAI
26. Kingorema - YAYA
27. Kikisi - MAWHU/MABHU
HUU NI TAFITI WANGU KAPULYA WENU, PIA MAKABILA MENGINE YALIKUWA KICHWANI MWANGU kama kuna yeyote anatambua zaidi TAFADHALI usisite kuandika hapa ili tuweze kujifunza kwa pamoja...ntafurahi kama kutajitokeza kbila jingine...KAPULYA
Jitihada zako zinathaminiwa sana.HONGERA SANA MAU!
ReplyDeleteAhsante sana kwa kunipa moyo na naamini ndio napata jitihada zaidi...Na chilawu mewawa mlongo wangu!
ReplyDeleteDah Yasintaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMawu Yasintaaaaaaaaaaaa au Mawu Cammila
ReplyDeleteHongera sana Yasinta sasa malizia na makabila mengine ya Tanzania kisha uingie na makabila mengine ya Afrika Mashariki, kati na Afrika nzima.
ReplyDeleteJ.Mgendi
usiye na jina wa 8:49 PM! naona umeniita kwa sauti kweli nipooooo......
ReplyDeleteNa usiye na jina wa 8:56! Nawe umeniita kwa sautiiii nipo/niviliii
Ndugu yangu J.Mgendi! Ahsante sana. Na pia nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili wewe subiri tu nitafanya hivyo. Ni kama vile umeyasoma mawazo yangu:-)