Monday, February 8, 2016

JUMATATU HII YA LEO TUANZIA HUKU KUSINI KWA NDUGU ZETU WANGONI..EBU WASIKILIZE....NIPELEYI MWANA WANGU NIPAGATE...


Ni jumatatu nyingine na tupo na ndugu zetu wangoni na huu wimbo NIPELEYI MWANA WANGU NIPAGATE wakimaanisha NIPE MTOTO WANGU NIPAGATE....Yaani hapa nipo hoi kabisa  jongeeni tucheze pamoja:-)

No comments:

Post a Comment