CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI...
Ama kweli haya ndio maisha yetu wengi wetu...tutafika kweli? Najiuliza itabidi ninunue gari mpya kila kukicha kwa mtindo huu...kaaaazi kwelikweliii! mizigo michache ndio msingo harakahara haina baraka !
Du! Hatari kweli kweli. Hasa kwenye kona na mwendo mkali lazima lilale tuu. Maana hamna namna... By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu! Yaani sio hatari kidogo ni hatari sana na pia ni hasara na gharama maana itabidi anunue gari kila wiki kwa mtindo huo!
ReplyDelete