Monday, May 4, 2015

NI JUMATATU YA KWANZA YA MWEZI HUU WA TANO ...NA MAISHA NA MAFANIKIO INAANZA HIVI....

Hakuna kisichowezekana ... si unaona hapa . Ila mmhhh sijui huu ni ubunifu au? Nawatakieni wote jumatatu hii ya kwanza ya mwezi huu iwe njema:-) Kapulya.

3 comments:

  1. Mhh;sijui ni ubunifu au kukosa ubunifu ila hayo mawili yanaweza yakawa ni sawa.

    ReplyDelete
  2. Iwe njema kwako na familia pia..

    Mhhh mimi naogopa hiki kiti..mmhh.
    Ubarikiwe dadake.

    ReplyDelete
  3. Huu si ubunifu kitu bali hatari na ukosefu wa ubunifu. Ni matokeo ya kutumia akili vibaya na kukwepa kuyakabili matatizo kama yalivyo vilivyo.

    ReplyDelete