NA TUUKARIBISHE MWEZI HUU WA TANO NA SIKUKUU HII YA WAFANYAKAZI KWA KUANZA NA MLO HUU AUPENDAO KAPULYA
Leo ni mwezi mpya wa tano na sio hivyo pia ni sikukuu ya WAFANYAKAZI (MEI MOSI) Kwa hiyo napenda kuwatakieni wafanyakazi wote siku njema sana kwa siku hii. Binafsi sina mapumziko mzigoni kama kawaida:-) TUPO PAMOJA NDUGU ZANGU NA NAWAPENDENI WOTE.
Njaa yaniuma sasa kwa huo mlo
ReplyDeleteYaani hunipiti mie ...na ni mlo niupendao mno mno.......
ReplyDeleteUmenikumbusha wale watani wangu wa jadi wanaosema"thamaki ni mali na muchuthi ndo thakula".Kwa picha ya samaki matonge ya ugali yanashuka.
ReplyDeleteMmmhh uchokozii dadake...
ReplyDeleteNjaaaaaaa.
Kaka Ray...wewe acha athante
ReplyDeleteKachiki...wala si uchokozi karibu tukule