Tuesday, April 28, 2015

VAZI LA LEO...KAPULYA HUYOOO!!

Hili ndilo vazi langu la leo ...mwanamtindo Kapulya huyo:-)

5 comments:

  1. Da Yasinta umependeza kwelikweli! Ungeongezea na kamkanda ingetoka bab kubwa.By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu...ahsante. kamkanda nilisahau bwana!

    ReplyDelete
  3. Hakika umetokezea. Tenge huwa halidanganyi. Nimependa hivyo vitabu kwenye background. Wahimize watoto wavisome vitawakomboa.
    Kwa ufupi kweli hiyo ni Kapyula fashion show.

    ReplyDelete
  4. Hahaaa kaka Mhango Ahsante kaka. Vitabu hapa vipo vya lugha zote ni kuchagua tu maana hadi kingoni vipo kiswahili ndo usiseme...:-) Kapulya fashion show eti eeehh?? Nimependa hii...

    ReplyDelete