Monday, April 27, 2015

JUMATATU HII TUANZA NA KUMPONGEZA MWANAMKE WA SHOKA DADA MIJA KWA KUTIMIZA MIAKA

Rafiki, dada mkuu msaidizi...napenda kukutakia kheri kwa siku yako ya kuzaliwa. Uwe na siku njema sana na hiyo miaka uliyotimizahahahahahahhaa

3 comments:

  1. Dada Mkuu na rafiki yangu Yasinta nashindwa nikushukuruje kwa heshima hii kubwa ulonipa kibarazani mwako.MUNGU azidi kukubariki jamani na please karibu sana tujumuike pamoja kusherehekea... God bless you my Friend.

    ReplyDelete
  2. Si unakua rafiki ni bora kuliko mwana sesere. Na uwe na siku njema sana ntakaribia usihofu:-)

    ReplyDelete