NA TUANZE MWEZI HUU WA NNE KIHIVI:- KAPULYA AMEANZA KUTAMANI KUANZA KULIMA BUSTANI
Jinsi siku zinavyosogea kwa msimu wa bustani mikono yangu inazidi kuwasha sana, na hivi nisemavyo nimekwisha anza atika baadhi ya mbegu ..:-) Nasubiri kwa hamu sanaaaaa. ALHAMIS KUU IWE NJEMA KWA WOTE
Dada Yasinta usinisahau na mimi mbegu za majani ya maboga kama ulizipata.
ReplyDeleteMama Wane...hujanitumia add..yako ndugu yangu
ReplyDelete