Nami nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi na wote wanaopita hapa...Watoto ni wabunifu sana..wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unapenda kutengeneza nini?
Mimi nilikuwa napenda kutenfeneza midoli hasa ya migomba, vigunzi na udongo...pia viatu/ndala za mabanzi ya migomba nawe je?
Nimefurahia taswira hiyo sana. Mie nilikuwa natengeneza magari ya makopo, manati, na watu wa udongo mvua ikinyesha. Teh teh teh utoto raha!
Nami nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi na wote wanaopita hapa...
ReplyDeleteWatoto ni wabunifu sana..
wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unapenda kutengeneza nini?
Mimi nilikuwa napenda kutenfeneza midoli hasa ya migomba, vigunzi na udongo...pia viatu/ndala za mabanzi ya migomba nawe je?
ReplyDeleteNimefurahia taswira hiyo sana. Mie nilikuwa natengeneza magari ya makopo, manati, na watu wa udongo mvua ikinyesha. Teh teh teh utoto raha!
ReplyDelete