Monday, March 2, 2015

JUMATATU HII YA KWANZA TUANZE NA KUKARIBISHANA CHAKULA CHA MCHANA ...

Ni chakaula ambacho akipendacho sana Kapulya/dada mkuu...ni ugali samaki, maharagwe, na mbogamboga...KARIBUNI TUJUMUIKE:-

7 comments:

  1. Msosi kabambe huo hata ulaya chakula chao hakifii ubora huu! By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Ukisikia uchokozi mwingine ndiyo huu. Chichemi mengi miyi.

    ReplyDelete
  3. Dada M pole sana kwa kupatawa na njaaa ghafla:-)

    Kaka Salumu! :-)

    Kaka Mhango! eti uchokozi.

    ReplyDelete
  4. Yaani hicho chakula kinanipa njaa hapa sasa. Kitamuje kwa muonekano tu.

    ReplyDelete
  5. Kaka Nicky sio peke yako hata mimi hivyo hivyo!

    ReplyDelete