Mbunge wa Mbinga na mjumbe wa Halmashauri kuu ta Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba afariki dunia leo saa 10 jioni katika hospital ya TMJ Dar es salaam kwa tatizo la kisukari. Marehemu asterehe kwa amani Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Amina
Pole sana kwa familia,ndugu,jamaa na marafiki wote.
ReplyDeletePole dada kwa msiba wa Captain Komba. RIP J. Komba
ReplyDeleteKaka Ray na kaka Mwangoka tumwombea marehemu astarehe mahali pema peponi.
ReplyDelete