Friday, March 27, 2015

FUATANA NAMI MPAKA MTO RUAHA / MBUGA YA WANYAMA

TUMALIZE WIKI HAPA RUAHA..PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA ...KAPULYA

10 comments:

  1. Ni mandhari nzuri ssna kaka Nicky, ukiwa hapo kuindoka hutaki ila huwa inakulazimu

    ReplyDelete
  2. Wanyslokolo wepi tena kaka Mhango???

    ReplyDelete
  3. Wanyalukolo wote??? Mmmhhh kaka sijui kama nimekupata hapa.......

    ReplyDelete
  4. Kwani wewe ni mnyalukolo? Hawa jamaa kwa hasira usipime. Ukimtania tu anajinyonga. Nami ninavyopenda utani, naogopa kwenda kule nisisababishwe vifo vya wengi. Nadhani sasa umenipata vilivyo.

    ReplyDelete
  5. Nimekupata kakangu..kumbe tunafanana kidogo tabia...utani:-)

    ReplyDelete
  6. Shkrani kupita...salamu ni nusu ya kuonana:-)

    ReplyDelete