Saturday, February 14, 2015

NAPENDA KUWATAKIENI HII SIKU YA WAPENDANAO IWE NJEMA NA YENYE AMANI.

 NAPENDA KUWATAKIENI WOTE SIKU HII YA WAPENDANAO IWE YENYE AMANI.
HUU ULIKUWA MLO WANGU WA JANA JIONI PILAU, KACHUMBALI HAKUKOSA...JUMAMOSI NJEMA.

4 comments:

  1. Kusema ukweli dada Yasinta,mimi nachagua kifurushi cha tano cha MILELE.
    Namshukuru Mungu kwa kweli na aendelee hivyo hivyo kuibariki ndoa yangu na idumu milele.ingawa ndugu wa mme wanazingua lakini wala sijali ingawa Mume wangu tuko vizuri na AMANI tele.ALHAMDULILLAH.

    ReplyDelete
  2. Mama Wane ni chagua nzuri na bora HONGERA.

    ReplyDelete
  3. Mimi njaa tuu..nilipitwa...
    Pole sana mama Wane..Mungu yu mwema yatapita tuu hayo.

    ReplyDelete
  4. Potelea Mbali, Me Nachagua Cha Siku. Kinanitosha Mana Mahusiano Ya Cku Hiz Naona Kama Network Yke Inazngua Kama Mtandao Usokua Na Mnara!
    Me Cha Sku Tu Dada Yasinta Apo Bac

    ReplyDelete