Tuesday, February 17, 2015

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI!!!

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE SIKU HII YA JUMANNE IWE NJEMA NA PIA TUWE WAANGALIFU JINSI YA KUTUMIA MANENO KWA WATOTO WETU!!

2 comments:

  1. Haahhahah..mtoto kafuata maelekezo vyema......
    Iwe njema kwako na familia pia.

    ReplyDelete
  2. Katuni hii ina mengi ambayo yanajadiliwa na wale waliomo katika taaluma kama lugha, falsafa, na mawasiliano. Fundisho muhimu ni kuwa tusidhani kuwa tunachosema au tunachoandikwa kinaeleweka kwa namna tunayotaka au kuwazia, iwe ni katika mazungumzo ya kawaida, ujumbe wa simu, hotuba jukwaani, masomo darasani, gazetini, redioni, au katika blogu.

    Ni hatari, tupende tusipende. Hata ukikaa kimya, unaweza usieleweke au unaweza kueleweka vibaya. Ni hatari. Maadam bado tuko hai, tuko hatarini.

    ReplyDelete