Asante dada naitwa Miriam nipo shinyanga Tanzania ni mpenzi wa blog yako ni kwamba nililetewa zawadikutoka finland na kwenye receipt niliona hinta 200 kama bei kwenye receipts nilitaka kujua thamani yake ni sawa na shs ngapi ya kitanzania?au na huko mnatumia dola?
Nani nakutakia sikukuu njema .Pia samahani dada ruhuwiko hivi Hinta 200 ni sawa na shs ngapi za kitanzania?
ReplyDeleteUsiye na jina:- Ahsante sana, ila sijui kama nimeelewa swali lako.
ReplyDeleteAsante dada naitwa Miriam nipo shinyanga Tanzania ni mpenzi wa blog yako ni kwamba nililetewa zawadikutoka finland na kwenye receipt niliona hinta 200 kama bei kwenye receipts nilitaka kujua thamani yake ni sawa na shs ngapi ya kitanzania?au na huko mnatumia dola?
ReplyDeleteNimekumbuka mbali nilipokuwa binti Asante Dada Yasinta
ReplyDeleteDada Miriam! samahani mimi siishi Finland na nachojua wanatumia EURO.Karibu tena hapa kibarazani na Ahsante kuipenda blog yetu.
ReplyDeleteUsiye na jina wa 10:34..Nafurahi kama umepata kumbukumbu ya ulipokuwa binti.