Hebu turudie tena kusoma mada hii ambayo ni kicha cha kweli na halafu sikiliza huu wimbo wa dada Jennifer Mgendi. Haya karibuni sana.
http://ruhuwiko.blogspot.se/2012/09/kisa-cha-kweli.html
Na wimbo wenyewe ni huu hapa
PANAPO MAJALIWA KUMBUKA TUPO PAMOJA.
yaani kumbe tumepitwa na mengi sie wageni.ila nimejifunza kitu ktk hii habari na imeniliza pia.thanx dada.
ReplyDeleteMama wane...unajua maishavni mapambano...tenda wema nenda zako....
ReplyDelete