Friday, November 28, 2014

ZILIPENDWA....IJUMAA NJEMA!!

NAPENDA KUWATAKIA WOTE IJUMAA NJEMA PIA MWISHO WA JUMA UWE WENYE AMANI TELE!!

7 comments:

  1. Mhh, ama kweli siku zinakwenda, duuuh, unanikumbusha mbali kweli, hongera ndugu wangu.

    ReplyDelete
  2. Kweli ndugu wa mimi siku zinakimbia mno...shukrani kupita hapa na kuacha lako la moyoni-:)

    ReplyDelete
  3. asante dada Yasinta ila sie huku Canada baridi na snow inatuumiza toka jana yaani ni balaa ila watoto wanafurahi sana.

    ReplyDelete
  4. Asante Dada Yasinta,nawe pia pamoja na familia yako.Mama Wane pole sana upo Canada sehem gani?mie pia naishi Canada.

    ReplyDelete
  5. Mama wane duh pole kwa baridi/snow hapa bado ingawa kuna baridi kidogo.

    Manka! kumbe nawe unaishi Canada ...ahsante kwa kutochoka kupita hapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio Dada yangu naishi Canada,Karibu sana

      Delete
  6. Ahsante alo nawe karibu sana hapa kwetu pole sana bna baridi

    ReplyDelete