Monday, October 6, 2014

TUANZA WIKI NA PICHA HII:-MAPENDO!

Kuna wakati mtu ukipenda hakuna awezaye kusema kitu ..maana kupenda ni kupenda. Nawatakieni wote jumatatu njema.

4 comments:

  1. Mama A..yaani haswa mtu akipenda anapenda...kipenda roho hula nyama mbichi

    ReplyDelete
  2. Mh;ni mapendo kweli(A house is made of bricks and stones but home is made of LOVE alone.Congrat)

    ReplyDelete