HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA JIKONI KWA KAPULYA YAANI MLO WAKE....IJUMAA NJEMA!!!
Huu ulikuwa ni mlo wangu wajana mchana supu ya mboga mboga..kama vile kabichi, karoti, nyanya, kitunguu bila mafuta.
Na hapa ni mlo wangu wa jana jioni samaki na saladi ya nyanya na spinachi na kitunguu(kachumbali) hivyo ndivyo nilivyokula jana.TUKUTANE TANA PANAPO MAJALIWA:-)
Yaani dada yangu kwa mapishi nakuaminiaaaaa........yaonekana tamu hasaaa
ReplyDeleteMama Alvin...inabidi kama mama lazima familia inashiba bila hivyo hakuna raha.
ReplyDeleteYami yami yami! Hongera kwa mapishi dada.
ReplyDeleteVyakula asilia ndio kila kitu unapozungumzia lishe bora. Hongera sana kwa mapishi na ulaji wa mlo kamili (Balanced diet).
ReplyDeleteHongera kwa mapishi. Tunawatakia wote sikukuu ya Eid na Baraka njema. by Salumu.
ReplyDeleteUsiye na jina wa 11:18AM ahasante...
ReplyDeleteNa usiye na jina wa 12.20PM vyakula vya asili ni mpango mmoja Ahsante kuliona hilo
Kaka Salumu Ahsante Eid na baraka njema kwako pia.