Thursday, September 4, 2014

VAZI LA LEO GAUNI : NAONA IWE PICHA YA WIKI!!!!

 Ukiwa mfupi kuna kila njia ya kuwa mrefu kwa mfano hapa kusimama kwenye kiti:-) ujanja eehhh . Halafu sijui madada huya anataka kuruka pia.
 Hapa afadhali mdada katulia
Tabasamu kwa mbali.
Gauni hili nimenunua:- Indiska
 

10 comments:

  1. Mashallah umependeza kweli kweli. Ungetupia na kaushungi ungefunika ngoma kabisa! By Salumu.

    ReplyDelete
  2. umependeza na gauni rangi zake nzuri sana.kweli ungetia na ushungi ungepewa salama leku.

    ReplyDelete
  3. Kaka Salum! Ushungu ntavasa siku nyingine ahsante kunikumbusha.

    Usiye na jina...indiska ipo karibu kila sehemu wansuza vitu kutoka india.
    Mama Alvin ahsante.
    Mama wsne ahsante sana...ushungi siku nyingine

    ReplyDelete
  4. Umekwatuka ili mbaya. Uhitaji kuongeza wala kupunguza dadangu.

    ReplyDelete
  5. Umependeza sanaa jamani hiyo rangi imetuliaa

    ReplyDelete
  6. Umependeza sana mama 👍

    ReplyDelete
  7. Manka! Ahsante ni kweli rangi zimetulia ni rangi zangu...:-)
    Erik Mwanangu! Ahsante!

    ReplyDelete