Monday, September 1, 2014

MLO WA JANA JIONI.....KARIBUNI!!!!

Hivi ndivyo mlo wetu wa jana ulivyokuwa:- Wali, nyama ya ngómbe na kabichi na hiyo ni sahani yangu kiteremshia ni maji

7 comments:

  1. Asante sana,kwa hakika huu mlo unavutia mnooo,mie ngoja nikachukue glasi ya maji nile kwa macho.Nakutakia wiki njema Dada yangu.

    ReplyDelete
  2. Manka...ni kweli kilikuwa kitamu sana...karibu alo:-)

    ReplyDelete
  3. Mmmhh mlijinoma kweli alooo...mmebakisha?

    ReplyDelete
  4. Msosi bomba sema mimi na nyama nyekundu mbingu na ardhi. Shukrani ila hunipati hapa dadangu.

    ReplyDelete
  5. Kachiki wa mimi...we njoo msosi upo ila wahi:-)
    Kaka Mhango! Weww njoo si utakula kabichi:-)
    Kska Nicky... nawe karibu usitamani tu!!!

    Kaka Nicy

    ReplyDelete