Saturday, August 30, 2014

PICHA YA WIKI...SEHEMU FULANI TANZANIA..JE? UNAJUA WAPI?

Nimeipenda hii picha na nimeiona iwe picha ya wiki hii haya sema kama unajua hapa ni wapi?:-) ni mimi Kapulya wenu:-)

7 comments:

  1. Siwezi kusema ni wapi, bali panafanana kabisa na kwetu u-Matengo, mkoa wa Ruvuma.

    ReplyDelete
  2. Nadhani ni mitaa ya Ruhuwiko kama siyo Molowo.

    ReplyDelete
  3. Labda ni Hedaru.nimewapenda watoto wanavyoishangaa bodaboda.ikipita gari si ndio wataikimbilia kabisa.
    Mama wane.

    ReplyDelete
  4. Prof Mbele, prof Mhango na mama wane hapo si mkoa wa Ruvuma bali mkoa wa Iringa. Ahsante kwa mchango

    ReplyDelete
  5. hiyo miti inadhihirisha ni Iringa dada

    ReplyDelete
  6. Mama Alvin .....upo sahihi ndugu yangu....

    ReplyDelete