Kwanza nisema habari za siku mbili -tatu au niseme za wiki nzima bila kuwa nanyi.. nilikuwa nikisafisha macho na kujifunza kidogo historia. Ila sasa nimerudi na nipo nanyi....naweka picha kidogo kuonyesha wapi nilikuwa. Nimewamiss ndugu zanguni.
Hapa ni mitaani ndani ya Nchi ya Estonia. Kwa kweli nimesafisha macho sana na pia kupumzisha akili.
Haikuwa muda mrefu nilikuwa kule na hapa sasa narudi tena ila duh!....na sasa Likizo imekwisha wiki ijayo ni mtindo mmoja kubeba maboxi:-) JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA KWA WOTE...!!!
Duh..nilikumiss sana dada Kadala wangu...Karibu tena..Natumai ulikuwa na wakati mzuri,mapumziko na Familia...
ReplyDeleteMpaka mashavu yamenona..Mwehhh kupumzika ni Afya!!!!!!
Ahsante kunimiss!...Kachiki ww yaani nimecheka hadi chozi eti mashavu yamenona...kaaaazi kwelikweli...
ReplyDeleteHongera sana dada kwa mapumziko, kwani kupumzika ni vema sana kwa maisha yetu.....karibu tena ushee nasi uliyojifunza mapumzikoni
ReplyDeleteMama A! Ulichokisema ni kweli kabisa...ahsante. kuhusu kugawana elimu usihofu itakuja.
ReplyDeleteHONGERADADA SAFARI YA NYUMBANI LINI KUMBUKANYUMBANI NI NYUMBANI
ReplyDeleteKUWA NA SIKU NJEMA UMEPENDEZAAAAA ANGALIA SHEMEJI ASIIBIWE
Kaka Yangu Che Jiah! wala usikonde siwezi kusahau nyumbani hata siku moja si unajua msahau kwao ni mtumwa.. Na ahsante...kuibiwa si rahisi:-)
ReplyDeleteKumbe upo huko! Uwe na likizo njema..
ReplyDeleteDada mkuu msaidizi...nilikuwa huko sasa nipo hapa na likizo imeisha jumatano kazi kama kawa tena....
ReplyDeleteHongera, nimekimic kijiwe hiki so muuch, unajua fb, unatulemaza sana, lkn ndio hivyo tupo pamoja mpendwa
ReplyDelete