Hongera sana dada kwa kuvuna. Bustani oyeeeeeeeeeeee
Mama Alvin... ahsante katibuutukule
Umejitahidi kazi nzuri
Dada yangu hongera,yaani unanifanya nizidi kupenda bustani.Naomba kuuliza swali,hivi utajuaje vitunguu swaumu vimekomaa?mie nimeviacha hadi vikatoa maua makubwa na vimeanza kukauka nimeving'oa vichache hakuna kitu.Asante.
Ahsante Manka naweunanipa moyo zaidi ....vituu saumu ni kama vitunguu maji vinachanua na kukauka majani na ndiyo vimekomaa. ....pole sana kama kulikuwa hakuna kitu. Kitu kingine ukitaka panda sasa ikija mwakani vinachipua tu na kuendelea kukua
Duuhhh..nilipitwaje?..Siasa yetu kilimo wana Tanzania..Tushike majembe!!!Najua nimewekewa tuu.Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako dada yangu.
Kachiki...umewekewa tena na nyama pia mchicha na njegele....
Hongera sana dada kwa kuvuna. Bustani oyeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteMama Alvin... ahsante katibuutukule
ReplyDeleteUmejitahidi kazi nzuri
ReplyDeleteDada yangu hongera,yaani unanifanya nizidi kupenda bustani.Naomba kuuliza swali,hivi utajuaje vitunguu swaumu vimekomaa?mie nimeviacha hadi vikatoa maua makubwa na vimeanza kukauka nimeving'oa vichache hakuna kitu.Asante.
ReplyDeleteAhsante Manka naweunanipa moyo zaidi ....vituu saumu ni kama vitunguu maji vinachanua na kukauka majani na ndiyo vimekomaa. ....pole sana kama kulikuwa hakuna kitu. Kitu kingine ukitaka panda sasa ikija mwakani vinachipua tu na kuendelea kukua
ReplyDeleteDuuhhh..nilipitwaje?..Siasa yetu kilimo wana Tanzania..Tushike majembe!!!Najua nimewekewa tuu.
ReplyDeleteMungu azidi kubariki kazi za mikono yako dada yangu.
Kachiki...umewekewa tena na nyama pia mchicha na njegele....
ReplyDelete