Kwangu Broccoli lazima iwepo kwenye chakula changu kila uchao. I love and like this stuff.
Yaani kaka Mhango hunipiti mimi napenda sana broccoli ....halafu unaweza kula kwa mitindo mbalimbali....hata hivi hivi na kushiba....
Dada Yasinta,sasa hiyo supu ni broccoli tupu bila chochote?Mama wane.
Haswa mama wane hivyohivvyo si unajua mie na mikate hatuendi. ..
napenda broccol mimiiii...hadi nimemuambukiza Alvin...safi sana dada. mlo wenye afya huoo
Mmmhhh hii kitu imenishinda mwenzenu..yaani siiwezi kabisaaa...
Ester....safi sana na hivi Alvin anapenda maana si watoto wengi wanapenda.Kachiki ....ndivyo ilivyo huwezi kupenda kila kitu hapa duniani.
Kwangu Broccoli lazima iwepo kwenye chakula changu kila uchao. I love and like this stuff.
ReplyDeleteYaani kaka Mhango hunipiti mimi napenda sana broccoli ....halafu unaweza kula kwa mitindo mbalimbali....hata hivi hivi na kushiba....
ReplyDeleteDada Yasinta,sasa hiyo supu ni broccoli tupu bila chochote?
ReplyDeleteMama wane.
Haswa mama wane hivyohivvyo si unajua mie na mikate hatuendi. ..
ReplyDeletenapenda broccol mimiiii...hadi nimemuambukiza Alvin...safi sana dada. mlo wenye afya huoo
ReplyDeleteMmmhhh hii kitu imenishinda mwenzenu..yaani siiwezi kabisaaa...
ReplyDeleteEster....safi sana na hivi Alvin anapenda maana si watoto wengi wanapenda.
ReplyDeleteKachiki ....ndivyo ilivyo huwezi kupenda kila kitu hapa duniani.