MAREHEMU MAMA ALANA NGONYANI 1952-2004
Imetimia miaka 10 tangu ututoke ghafla usiku wa tarehe 17 Agosti 2004 wakati bado tulikuwa tunakuhitaji. Ingawaje kimwili umetutoka, kiroho bado tunakukumbuka. Tunakukumbuka siku zote kwa upendo wako, mawazo yako yaliyojaa busara , ukarimu/ucheshi na malezi bora. Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi. AMINA
Na tumkumbuke mama yetu kwa wimbo huu
TUTAKUKUMBUKA DAIMA MAMA
Pumzika mahali pema peponi mama yetu Alana Ngonyani. Umetoka kimwili tu na hii ni njia ya wote
ReplyDeleteKaka Mhango! Ahsabte kuwa nami katika siku hii.
ReplyDeletePumzika kwa amani Mama yetu.Pole sana Dada yangu
ReplyDeleteManka!!! Ahsante ndugu yangu!!
ReplyDeletePumzika kwa Amani mama yetu mpendwa
ReplyDeletePole sana Familia ya Ngonyani..Ulale kwa Amani mama yetu mpendwa Mama Ngonyani.
ReplyDeleteMm A..ahsante kuwa nasi!!!
ReplyDeleteKACHIKI wa mimi familia yote inakushukuru..